LIVERPOOL YAZIDI KUJIIMARISHA LIGI KUU YA ENGLAND


Bao pekee la dakika ya 45 kupitia kwa Emre Can limewapatia Liverpool ushindi muhimu wa 1-0 dhidi ya Watford.


Matokeo hayo yamewafanya Liverpool wazidi kujikita katika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England.

WATFORD: Gomes 6.5; Mariappa 6, Prodl 6.5, Britos 6 (Kabasele 19 min, 6); Amrabat 6 (Okaka 85), Capoue 5.5 (Success 73, 5), Doucoure 7, Cleverley 6, Janmaat 6; Niang 5, Deeney 5

LIVERPOOL: Mignolet 6; Clyne 6, Matip 6, Lovren 6, Milner 6.5; Can 7.5, Lucas 6.5, Wijnaldum 6; Firmino 6, Origi 6 (Sturridge 85), Coutinho (Lallana 12, 7 (Klavan 87))


No comments