CHAMA cha ngumi za ridhaa mkoa Dar es Salaam (DABA), kimesema maandalizi ya mwisho ya mashindano ya Kombe la mashindano ya Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam sasa yamekamilika.

Katibu mkuu wa DABA, Wamboi Mangore alisema kuwa maandalizi yaliyokamilika ni pamoja na kutoa fursa kwa timu shiriki kuthibitisha ushiriki ambapo zoezi hilo lilifikia tamati Mei 15, mwaka huu.


Alisema kuwa lingine ni pamoja na kuweka nafasi kwa Kamati kuandaa mazingira ya kufahamu idadi ya washiriki watakaoshiriki mashindano hayo. 
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac