MANCHESTER CITY YAUA 5-0 NA KUISHUSHA LIVERPOOL ...pata matokeo hapa ya mechi zote za leo za Premier League


Manchester City imefanya mauaji kwenye Ligi Kuu ya England kwa kuifunga 5-0 timu ngumu ya Crystal Palace.

Matokeo hayo yanaipandisha City hadi nafasi ya tatu na kuishusha Liverpool mpaka nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi.

Mabao ya City yalifungwa na David Silva, Vincent Kompany, Kevin de Bruyne, Raheem Sterling na Nicolas Otamendi.

Manchester City (4-3-3): Cabellero 7; Clichy 6, Otamendi 6.5, Kompany 7, Fernandinho 6.5; De Bruyne 8, Toure 7.5, Silva 8.5 (Zabaleta 67, 7); Sane 7.5 (Navas 84), Jesus 7 (Iheanacho 84), Sterling 7

Crystal Palace (3-5-2): Hennessey 7; Ward 5, Kelly 4, Schlupp 5.5; Townsend 5 (Lee, 57, 6), McArthur 5, Milivojevic 4.5 (Flamini 67, 5.5), Puncheon 5, Van Aanholt (Delaney, 77, 6) 5.5; Zaha 6.5, Benteke 6

Matokeo ya mechi zote za leo:
Manchester City 5 - 0 Crystal Palace
AFC Bournemouth 2 - 2 Stoke City
Burnley 2 - 2 West Bromwich Albion
Hull City 0 - 2 Sunderland
Leicester City 3 - 0 Watford
Swansea City 1 - 0 Everton

No comments