MBAO FC WAWEKA NADHIRI YA KUIUMBUA YANGA

MBAO FC wako katika hatari ya kushuka daraja na wamepania kuiadhiri tena Yanga kama walivyofanya kwenye mechi ya nusu fainali ya Kombe la FA ili kujinusuru kwenye janga hilo.

Kiongozi mmoja wa Mbao ameiambia saluti5 kwamba hawatakuwa daraja kama Toto African wanafanya kila wakicheza na Yanga.


 “Sisi ndiyo kiboko wa Yanga na wajue kwamba wakija huku wanakufa tena hatua undugu na timu yoyote na hatuwezi kuwa daraja kwa Yanga haijihalalishia ubingwa,” amesema kiongozi huyo.

No comments