MONALISA WA BONGO MOVIE ASEMA ANAMKUBALI SANA DIDA WA TIMES FM KWA "KUCHAMBA"


MWIGIZAJI mkongwe wa kike na mmoja wa watangazaji wa Times fm, Yvonne Cherryl “Monalisa”  amefunguka na kusema kuwa miongoni mwa watangazaji wa vipindi vya mipasho Bongo anaowakubali zaidi kwa “michambo” ni Khadija Shaibu “Dida” ambaye pia ni mwajiriwa wa kituo hicho cha Times fm.

No comments