MSONDO NGOMA NAO WAFUTA ONYESHO LAO EQUATOR GRILL LEO USIKU


Msondo Ngoma Music Band “Baba ya Muziki” imefuta onyesho lao la leo usiku ndani ya Equator Grill, Mtoni jijini Dar es Salaam.

Saluti5 imefahamishwa na boss wa Equator Grill, Hamis Slim kuwa sababu ya kufutwa kwa onyesho hilo  ni mvua zinazoendelea kunyesha.

Hii inakuwa Alhamisi ya pili mfululizo kwa Msondo kufuta onyesho lao la Equator Grill kwasababu hizo hizo za mvua.

No comments