NEW AUDIO: SIKILIZA KAZI YA KWANZA YA MZEE YUSSUF TANGU ALIPOSTAAFU MUZIKIAliyekuwa mfalme wa muziki wa taarab, Mzee Yussuf ametoa kazi yake ya kwanza tangu alipoamua kuachana na muziki wa kidunia mwezi Agust mwaka jana.

Mzee Yussuf ambaye aliamua kumrudia Mungu, ameshuka na kaswida inayokwenda kwa jina la “Ramadhan Kareem”. Isikilize hapo juu.

No comments