NEW AUDIO: SIKILIZA WIMBO MPYA WA LILIAN INTERNET "NAVIMBA"
Baada ya kustaafu unenguaji, msanii Lilian Internet amekuwa ‘busy’ kwenye uimbaji akiachia ngoma baada ya ngoma na sasa anashuka na kitu kipya kabisa “Navimba”. Isikilize hapo juu.

No comments