Habari

PICHA 11: MWINJUMA MUUMIN ALIVYOWASHA MOTO ESCAPE ONE KATIKA EL CLASICO

on

Mpambano wa Mwinjuma Muumin, Ally Chocky na Nyoshi el Saadat uliopewa
jina la El Clasico unaendelea kuitikisa Escape One ambapo Muumin alikuwa gwiji
wa kwanza kupanda jukwaani kati ya hao watatu.
Muumin Kocha wa Dunia akatesa na kete zake nne “Tunda”, “Maisha
Kitendawili”, “Utafiti wa Mapenzi” na “Kilio cha Yatima”.
Hata hivyo, kinyume na matarajio ya wengi, wimbo “Utafiti wa Mapenzi” ndio
ulioshangiliwa zaidi haswa na kinadada. Lakini kwa upande wa mshiko, wimbo “Kilio
cha Yatima” ndiyo uliompa tunza nyingi kutoka kwa mashabiki.
 Muumin akishambulia na madansa wake
 Madansa wa Muumin wakifanya yao
 Kocha kwake hanaga mchezo kwenye show kama hizi
 Msanii mlemavu wa macho Manjegeka akiiunda safu ya waimbaji ya Muumin
 Muumin akitupia masauti yake
Salma Mjuu mwimbaji pekee wa kike wa Double M Sound
 Hivi ndivyo Muumin alivyotupia pamba zake
 Kocha katika hisia kali
 Ally Jay wa Jahazi akipapasa kinanda cha Double M Sound ya Muumin
 Waimbaji wa Muumin
Waninga akizigonga drum za Muumin

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *