Habari

PICHA 20 ZA MAZISHI YA MPIGA SOLO MIRAGE ALIN TOPIN WA TOT BAND

on

Mpiga solo wa TOT Band Mirage Alin Topin aliyefariki Mei 18, alizikwa jana alasiri kwenye makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa jijini Dar es Salaam.
Kabla ya kuelekea makaburi, taratibu zingine za mazishi zilianzia Mwananyamala nyuma ya ukumbi wa CCM Mwinjuma alipokuwa akiishi marehemu.
 Sanduku lililobeba mwili wa Mirage
 Mirage anavyoonekana enzi za uhai wake pichani
 Waombolezaji katika msiba wa Mirage
 Kushoto ni Gasper Tumani mkurugenzi wa TOT
 Baadhi ya watu walioshiriki msiba wa Mirage
 Baadhi ya waombolezaji
 Sumaragar akiteta na mkurugenzi wa TOT Gasper Tumaini
 Wasanii wakiwa msibani
 Baadhi ya wasanii wa TOT wakiwa msibani nyumbani alipokuwa akiishi Mirage Mwananyamala
 Juma Jerry wa TOT (katikati) akiwa msibani
 Salam za mwisho 
Wakati wa kutoa salam za mwisho
 Taratibu za mazishi zikiendelea katika makaburi ya Mwananyamala kwa Kopa
Sanduku lililobeba mwili wa Mirage likiwa tayari kwa kuingizwa kaburini
 Wasaa wa neno la Mungu
 Wadau wa sanaa wakiwa makaburini kumzika Mirage
 Kulia ni mkurugenzi wa TOT Gasper Tumaini na katikati ni meneja wa Mashauzi Classic Sumaragar
Hatua za mwisho za kuhifadhi mwili wa Mirage kwenye nyumba yake ya milele

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *