REAL MADRID YATWAA UBINGWA LA LIGA NA KUMALIZA UKAME WA MIAKA MITANO


Cristiano Ronaldo  na Karim Benzema kila mmoja amefunga bao moja na kuipa Real Madrid ushindi wa 2-0 dhidi ya Malaga na kutwaa ubingwa wa La Liga baada ya ukame wa miaka mitano.


Barcelona imeshika nafasi ya pili licha ya kuichapa Eibar 4-2.

No comments