Real Madrid imetanguliza mkuu mguu mmoja kwenye fainali za Champions League baada ya kuinyuka Atletico Madrid 3-0.

Katika mchezo huo wa kwanza  wa nusu fainali uliochezwa Santiago Bernabeu, Atletico Madrid walizidiwa katika kila idara.

Kidume wa mchezo huo wa upande mmooja alikuwa ni Cristiano Ronaldo aliyedumbukiza wavuni mabao yote matatu kunako dakika ya 10, 73 na 86.

Real Madrid: Navas, Carvajal (Nacho 46 mins), Ramos, Varane, Marcelo, Kroos, Casemiro, Modric, Isco (Asensio 67), Benzema (Lucas 77), Ronaldo

Atletico Madrid: Oblak, Lucas, Savic, Godin, Filipe Luis, Koke, Gabi, Saul (Gaitan 58), Carrasco (Correa 67), Griezmann, Gameiro (Torres 57)


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac