SAMATTA AMWAMBIA IBRAHIM AJIB: "TAFUTA TIMU ULAYA UJENGE HESHIMA BABU"

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amesisitiza kauli yake ya kumwambia mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Ajib kwamba ili aweze kuwa mchezaji mkubwa lazima asake timu Ulaya.

No comments