THABIT ABDUL ALIVYONGURUMISHA BASS LA TWANGA ALHAMISI USIKU


Jana usiku Thabit Abdul kutoka Wakali Wao Modern Taradance aliitumikia Twanga Pepeta ndani ya ukumbi wa Monie Junction, Lumo jijini Dar es Salaam.


Thabit Abdul alikabidhiwa bass gitaa na kulitumikia kwa karibu muda wote wa onyesho hilo kufuatia dharura iliyowapata wabiga bass wa Twanga Pepeta.
Thabit Abdul akimpagawisha Khalid Chokoraa

No comments