Hii ni video kali kutoka kwa msanii Joto ya Dar es Salaam akishirikiana na Chekedaa kupitia kundi lao la Family Team.

Video inakwenda kwa jina la “Look at Me Dance” ambayo inazidi kuhamasisha mapinduzi ya muziki wa dansi.

Wakali hao wawili waliowahi kutesa na FM Academia, ambao kwasasa wanaishi Marekani, hii inakuwa ni ngoma yao ya pili baada ya kutesa na wimbo “Starehe” ambao nao umepigwa katika miondoko ya kisasa.

 Itupie macho “Look at Me Dance”

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac