ZLATAN IBRAHIMOVIC AWEKA HADHARANI MGUU WAKE ULIOFANYIWA UPASUAJI


Juhudi za Zlatan Ibrahimovic kupambana kurejea dimbani zimeanza baada upasuaji wa goti lake kumalizika kwa mafanikio huko Amerika. 

Picha zimemuonyesha msahambuliaji huyo wa Manchester United akitembea kwa magongo mawili huku mguu mzima wa kulia ukiwa umefungwa bandeji.



No comments