AC MILAN KUPELEKA TORINO PAUNI MIL 39 KWA AJILI YA STRAIKA ANDREA BELOTTI

UONGOZI wa AC Milan umepanga kutumia pauni mil 39 kumsajili straika wa Torino, Andrea Belotti.


Hata hivyo, tetesi zimenyetisha kuwa Torino wanataka pauni mil 56.5 kumwachia.

No comments