KLABU ya serie A, AC Milan inafikiria kupeleka ofa ya kumtaka mlinda mlango wa Manchester City, Joe Hart.


Hart amemaliza kipindi chake cha mkopo na Torino na Milan wanaamini atafaa kuziba nafasi ya Gianluigi Donnarumma anayetaka kuondoka.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac