ARSENAL YAMTENGEA RIYAD MAHREZ PAUNI MIL 50 ILI ATUE EMIRATES

SIKU za winga wa Leicester City, Riyad Mahrez kutua Arsenal zinahesabika baada ya klabu hiyo kutenga kitita cha pauni mil 50 ili kuinasa saini yake.

Arsenal ambayo haitashiriki kwenye michuano ya Klabu Bingwa Ulaya msimu ujao baada ya kumaliza nje ya nafasi nne za juu, imepanga kufumua kikosi chake.


No comments