Muziki una maajabu yake na mashabiki wa muziki nao wana vimbwanga vyao!!!

Shabiki wa Kigoma, Tanzania aliyekwenda hadi Bukavu, Congo kuangalia show ya Chrstian Bella, anadai anampenda mwimbaji huyo kuliko anavyowapenda wazazi wake.

Ebu sikiliza mahojiano ya shabiki huyu na Khamis Dacota wa Clouds FM aliyekuwepo kwenye ziara hiyo ya Christian Bella.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac