AUDIO: SIKILIZA NAMNA WADAU WA CONGO WALIVYOPAGAWA NA CHRISTIAN BELLA …Nyoshi naye atajwaKatika ziara ya kimuziki ya Mfalme wa masauti Christian Bella huko nyumbani kwao Congo, alikuwepo mtangazaji wa Clouds FM Khamis Dacota ambaye alipata nafasi ya kufanya mahojiano na wadau kadhaa wa huko.

Wadau hao wamemfagilia sana Christian Bella na kuitaja Malaika Band kama bendi ya Kitanzania yenye mashabiki wengi zaidi Congo.

Jamaa wanadai zamani FM Academia ya Nyoshi ilikubalika lakini kwa sasa mpango mzima ni Bella na Malaika Band.


Hebu wasikilize wadau hao wa Congo walivyokuwa wakiongea na Dacota wa Clouds FM.

No comments