CHELSEA KUMTOA NEMANJA MATIC JUVENTUS ILI KUMPATA LEONARDO BONUCC

KLABU ya Chelsea imepanga kumtoa kiungo wake Nemanja Matic kwa Juventus kama sehemu ya biashara ili kumpata Leonardo Bonucc.

Nemanja amekuwa hana namba ya uhakika Stanford Bridge tangu kikosi hicho kiwe chini ya Antonio Conte.


Kuna kila dalili kwa kiungo huyo kuondoka baada ya kuweko na taarifa za kutakiwa na Manchester United.

No comments