CHELSEA 'YAMTIA MKONONI' KIUNGO BAKAYOKO WA MONACO


Tiemoue Bakayoko wa Monaco atakuwa London wikiendi hii kufanya kile kilichoelezwa kuwa ni mpango wake wa kujiunga na Chelsea.

Kocha wa Chelsea Antonio Conte ni shabiki mkubwa wa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 22 ambaye atakuwa pacha mzuri wa N'Golo Kante.

Inadaiwa mabingwa hao wa Ufaransa wamefikia makubaliano na Chelsea kwa dau linalokaribia pauni milioni 35.


No comments