CHRISTIAN BELLA: SIJAWAKIMBIA WASANII WANGU UGENINI, HUO NI UZUSHI


Kumekuwa na mada nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Christian Bella aliwakimbia wasanii wake ugenini mara baada ya kumaliza ziara yake Burundi na Congo.

Karibu wasanii wote wamesharejea Tanzania na Bella anajibu hapa juu ya habari hizo za kuwatelekeza wasanii wake.

No comments