Hatimaye Diamond ameweka wazi kuwa penzi lake na Zari limefika ukingoni baada ya kutoa post inayoashiria kusalitiwa.

Diamond kupitia ukurasa wake wa Instagram, ameweka picha inayomwonyesha Zari akiwa ufukweni akiogelea na mwanume mwingine.

Diamond akaandika: “Ndio maana wakati mwingine naonaga bora tu nile na kusepa …maana hawathaminikaki wala kuaminika”.

Zari naye bila kuchelewa akamwaga povu zito kwenye ukurasa wake wa Instagram.


Hiki ndicho alichoweka Diamond kwenye ukurasa wake wa Instagram

Hili ndo povu la Zari kupitia ukurasa wake wa Instagram


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac