ERIC BAILLY ASEMA ILIKUWA SAHIHI KWAKE KUTUA MAN UNITED

BEKI wa Manchester United, Eric Bailly amesema kwamba ulikuwa uamuzi sahihi kwake kutua kwenye mikono ya Jose Mourinho na kukataa ofa nyingine zilizoletwa mbele yake.


Bailly amefichua kuwa kabla ya Jose Mourinho kumwitaji, alishapewa ofa nyingi za kutua Etihad. Beki huyo raia wa Ivory Coast anaweza kuwa kwenye wakati mgumu msimu ujao baada ya klabu hiyo kumsajili beki mwingine, Lindelof.

No comments