EVERTON YAANIKA NIA YAKE YA KUMNG’OA VARDY LEICESTER

KLABU ya Everton imeweka hadharani mpango wake wa kumsajili mshambuliaji wa timu ya Leicester City, Jamie Vardy.

Toffees wanaweza kumpoteza Romelu Lukaku wakati wa m,ajira ya joto msimu huu, hivyo wanaamini Vardy atakuwa mbadala sahihi.


Jamie Vardy pia anawindwa na klabu ya Arsenal ambayo ilianza kusaka saini yake tangu mwishoni mwa msimu uliopita.

No comments