EVERTON YAMWANIA VARDY KAMA MBADALA WA ROMELU LUKAKU

EVERTON wameanza kuifukuzia saini ya mpachika mabao wa Leicester City, Jamie Vardy.

Siri ya mpango huo ni kuhakikisha safu yao ya ushambuliaji haiyumbi hata kama Romelu Lukaku ataondoka.

No comments