Habari

EVRA ASEMA MAJUKUMU YA KIFAMILIA YANAMLAZIMISHA AENDELEE KUSAKATA SOKA HADI ‘UZEENI’

on

Beki wa zamani wa Manchester United Patrice Evra amefichua kuwa majukumu ya kifamilia ndiyo yanayomfanya aendelee kusakata kambumbu hadi katika umri wa miaka 36 alionao.
Evra ambaye alidumu Manchester United kwa miaka minane kati ya mwaka 2006 na 2014, kwa sasa anakipiga na timu ya Marseille ya Ufaransa.
Nyota huyo wa Kifaransa amesema ana kaka na dada 24 ambao wanamtegemea kwa chakula na mahitaji mengine, hatua inayomfanya endelee kubaki dimbani.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *