GIROUD ASEMA ATAACHANA NA ARSENAL IKIWA ARSENE WENGER ATAENDELEA KUMPIGISHA BENCHI

MSHAMBULIAJI wa Arsenal, Olivier Giroud raia wa Ufaransa amesema kuwa anaweza kluachana na klabu hiyo mwishoni mwa msimu ujao ikiwa hatapewa nafasi ya kutosha uwanjani.

Giroud amekuwa hana namba ya uhakika kutokana na uwepo wa Alexis Sanchez ambaye hata hivyo anaweza kuikacha klabu hiyo wakati wowote kutoka sasa.


Msimu uliomalizika Giroud ameingia uwanjani mara 11 tu, jambo lililomfanya awaze kuondoka.

No comments