Habari

HATIMAYE LINDELOF AWASILI MANCHESTER UNITED KUKAMILISHA USAJILI WA PAUNI MIL 30

on

Sentahamu wa timu ya taifa ya Sweden Victor Lindelof amewasili uwanja wa mazoezi wa Manchester United – Carrington, tayari kwa kukamilisha usajili wake kutoka Benfica ya Ureno.
Lindelof  amewasili Carrington leo asubuhi huku usajili wake ukitegemewa kuigharimu Manchester United pauni milioni 30.7.
United ilijaribu kumsajili Lindelof  bila mafanikio katika dirisha dogo la Januari, lakini hatimaye sasa imemtia mkononi beki huyo anayetegemewa kuimarisha ukuta wa Jose Mourinho.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *