Habari

HATIMAYE MANCHESTER UNITED YAPEWA BEI YA BELOTTI

on

Manchester United imepewa bei ya mshambuliaji nyota wa Torino na Italia Andrea Belotti  na sasa ni juu yao kusuka au kunyoa.
Rais wa Torino, Urbano Cairo amesema watamruhusu Andrea Belotti kujiunga na Manchester United iwapo tu klabu hiyo ya Old Trafford itaweka mezani pauni milioni 88.
Belotti mwenye umri wa miaka 23, amekuwa na msimu mzuri na kuvutia jicho la Mourinho ambaye anasaka washambuliaji wapya kwa udi na uvumba.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *