Manchester United imekamilisha usajili wa  Victor Lindelof kutoka Benfica baada ya sentahafu huyo kufuzu vipimo vya afya.

Lindelof mwenye umri wa miaka 22, ambaye ameigharimu United pauni milioni 30.7million, amesaini mkataba wa miaka minne.

NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac