IBRAHIMOVIC MGUU SAWA MAREKANI KATIKA KLABU YA LA GALAXY

STRAIKA wa kimataifa wa Sweden, Zlatan Ibrahimovic anaangalia uwezekano wa kujiunga na moja ya klabu za Ligi Kuu Marekani.


Nyota huyo mwenye umri wa miaka 35 anaweza kutua La Galaxy baada ya kuachwa na Manchester United.

No comments