KLABU ya Inter Milan imepanga kunasa nyota wawili wa Real Madrid ili kujiimarisha na msimu ujao wa Ligi Kuu ya Italia.

Inter imeripotiwa kutaka kuwasajili kwa mpigo wachezaji Pepe na James Rodriguez wakati wa majira ya joto.


Kuna uwezekano mkubwa wa kuwanasa mastaa hao ambao wameshindwa kumshawishi kocha Zinedine Zidane kwenye kikosi cha kwanza.
NENDA PLAY STORE KUPITIA SMART PHONE YAKO KISHA DOWNLOAD APP YETU YA "SALUTI5">>>> BONYEZA HAPA
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac