JOSE MOURINHO NAE AGOMA KUTHIBITISHA TETESI ZA USAJILI MAN UNITED

KOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amesema kuwa msimu huu hayuko tayari kuthibitisha tetesi yoyote ya usajili.


Mourinho ambaye ameiongoza Manchester United kubeba ubingwa wa Kombe la Europa, alisema kuwa taarifa hizo zimemchosha kwa sababu nyingi ni za kutengenezwa na vyombo vya habari.

No comments