JUVENTUS YAITOLEA NJE OFA YA CHELSEA KWA AJILI YA ALEX SANDRO

KLABU ya Juventus ya nchini Italia imeichomolea ofa iliyotumwa na Chelsea kwa ajili ya kuinasa saini ya beki wao wa kushoto, Alex Sandro.

Mkurugenzi mkuu wa Juventus, Juseppe Morata ametoa taarifa rasmi ya kukataa ofa kutoka Chelsea.


Chelsea walikuwa wakimwitaji beki huyo ili kuboresha kikosi chao baada ya kuipata tiketi ya kushiriki kwenye michuano ya Klabu Bingwa msimu ujao.

No comments