JUVENTUS YAPANIA KUZITIA SHOTI BAYERN MUNICH, SEVILLA NA LAZIO KWA KUWANG'OA MASTAA WAO

JUVENTUS wamepania kuwasajili mastaa Douglas Costa wa Bayern Munich, Steven N’zonzi anayechezea Sevilla na fowadi wa Lazio, Keita Balde.


Mtandao wa Daily Mail umedai Juve wanafanya hivyo na tayari umetenga fungu la kutosha.

No comments