TIMU ya Liverpool italazimika kuvunja rekodi ya usajili endapo itataka kumsajili kiungo wa Leipzig, Naby Keita, baada ya vinara hao wa soka Ujerumani kusema kuwa hawako tayari kumuuza.


Kwa sasa kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp anamtaka Keita ili kuimarisha safu yake ya kiungo na ameshamuweka kwenye mipango yake kijana huyo mwenye umri wa miaka 22, raia wa Guinea na beki wa Southampton Virgil van Dijk kwa nyota atakaowasajili msimu huu.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac