LWANDAMINA YUKO ZAMBIA KUSAKA BEKI MBADALA WA VICENT BOSSOU

KOCHA wa Yanga, George Lwandamina ambaye yuko likizo kwao Zambia  anataka kurejea na beki kisiki atakayechukua nafasi ya Vicent Bossou.

Inadaiwa kuwa licha ya likizo yake hiyo,  Lwandamina pia anamfuatialia  beki mmoja Mnigeria anayemtaka kuja kuchukua nafasi ya Bossou.

Kocha huyo anamtaka beki huyo wa kati wa shoka anayetumia miguu yote miwili ambaye anahitajika katika kikosi hicho kutokana na mabeki alionao kuwa na uwezo wa kutumia mguu mmoja wa kulia pekee.

No comments