MAHREZ APOTEZEA OFA YA ARSENE WENGER... harakati zake ni kuisubiri Barcelona tu

WINGA wa Leicester City, Riyad Mahrez amegomea ofa aliyopewa ya kujiunga na timu ya Arsenal ambayo haitashiriki kwenye michuano ya klabu bingwa msimu ujao.


Mahrez ameripotiwa kuelekeza akili yake kwenye kusubiri ofa ya kujiunga na klabu ya Barcelona ya nchini Hispania.

No comments