MAHREZ ASEMA NDOTO ZAKE NI KUKIPIGA BARCELONA JAPOKUWA ANATAKIWA NA KLABU NYINGINE NYINGI

NYOTA Riyard Mahrez wa Leicester ameweka wazi ndoto zake za kuichezea Barcelona licha ya klabu nyingine kumuhitaji.


Hata hivyo, kwa sasa nyota huyo hayumo kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa Barcelona.

No comments