MALINZI ASISITIZA KUTILIA MKAZO SOKA LA VIJANA HADI KIELEWEKE KOMBE LA DUNIA

RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Jamali Malinzi amesisitiza mkakati wa kusimamia soka la vijana na kuhakikisha Tanzania inashiriki katika michuano ya fainali za Kombe la Dunia mwaka 2026.

No comments