MAN UNITED WATAKA KITITA CHA PAUNI MIL 80 WAMWACHIE ATUE REAL MADRID

KLABU ya Manchester United ipo tayari kumuachia kipa wake namba moja, David de Gea endapo italipwa kiasi cha pauni mil 80.

Kipa huyo anawindwa na timu ya Real Madrid ambayo imeripotiwa kuwa tayari kuweka fedha hiyo mezani.


Manchester United inaweza kumuuza mchezaji huyo ambaye akili yake imehamia Hispania kwenye klabu ya Real Madrid.

No comments