MAN UNITED YAGOMEA OFA YA EURO MIL 600 ZA REAL MADRID KWA AJILI YA DE GEA

KLABU ya Manchester United imeripotiwa kuigomea ofa ya euro mil 60 kutoka Real Madrid kwa ajili ya kipa wao David de Gea ambaye walianza kumwinda tangu msimu uliopita.

Kipa huyo wa kimataifa wa Hispania amekuwa akifuatiliwa na Real Madrid lakini Manchester United wamekuwa wazito kumuuza kwa mabingwa hao wa La Liga.

No comments