MANCHESTER UNITED KUMALIZANA NA VICTOR LINDELOF WIKI IJAYO

Victor Lindelof played the full 90 minutes on Friday night as Sweden beat France 2-1 

Manchester United inakaribia kumalizana na sentahafu wa Benfica Victor Lindelof mwenye umri wa miaka 22.

Jose Mourinho anatarajiwa kumtia mkononi beki huyo kwa dau la pauni milioni 35 mapema wiki ijayo mara baada ya nyota huyo kumaliza majukumu yake kwenye timu taifa ya Sweden.


No comments