MANCHESTER UNITED YACHEMKA KWA ALVARO MORATA

KLABU ya Manchester United imegonga mwamba baada ya kupeleka ofa ya pauni mil 52 kwa nyota wa Real Madrid, Alvaro Morata.

Real Madrid wameweka wazi kuwa hawako tayari kumwachia kwa fedha hiyo, wao wanahitaji kiasi kisichopungua mil 78.


Kuna vita ya chini kwa chini kati ya Manchester United na Real Madrid ambao nao pia wanahitaji saini ya david de Gea.

No comments