MARIO LEMINA WA JUVENTUS ANUKIA VALENCIA

VALENCIA wanakaribia kuinasa saini ya kiungo wa Juventus, Mario Lemina.


Mwanasoka huyo raia wa Gabon ambaye amekuwa kwenye rada ya Valencia kwa miezi kadhaa ametajwa kufurahia dili hilo.

No comments