MOHAMED SALAH KUREJEA LIGI KUU YA ENGLAND KUPITIA LIVERPOOL

KLABU ya Liverpool imepania kumrejesha mshambuliaji wa Roma, Mohamed Salah katika Ligi Kuu England msimu ujao.


Mshambuliaji huyo kabla ya kutua Italia alikuwa akichezea timu ya Chelsea ambayo iliamua kuachana nae baada ya kushindwa kupenya kwenye kikosi cha kwanza.

No comments