MORATA NA JOSE MOURINHO WATAKA DILI LA UHAMISHO LIKAMILIKE MAPEMA


Alvaro Morata anataka sakata la uhamisho wake likamilike ndani wiki mbili ambapo Manchester United italizimika kulipa zaidi ya pauni milioni 60.

Manchester United tayari wameshatuma ofa yao kwa Real Madrid ili kumnasa mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 24.

Kocha Jose Mourinho amemtaka makamu mwenyekiti wa United Ed Woodward kukamilisha biashara ya Morata mapema.


No comments